Je, umemaliza Kidato cha Sita mwaka 2025 na hauna uwezo wa kulipa ada ya kusoma Kompyuta?
Somait Institute of Technology ikishirikiana na Wizara ya kazi, Uchumi na Uwekezaji, Zanzibar.....
......inatoa udhamini wa 100% wa kozi ya Kompyuta kwa muda wa mwezi mmoja, katika kipindi hiki cha maandalizi ya kwenda chuo kikuu.
Nafasi ni chache tuma maombi muda huu kupitia: www.support.somait.ac.tz
Chuo kipo Kiembe Samaki, Kwa Bakathiri, Zanzibar
Kwa mawasiliano zaidi: +255 772 05 88 99
Follow us: www.instagram.com/somaitinstitute