Somait Institute of Technology first Graduation

Habari Njema 🥳🥳

 

Mgeni Rasmi wa Mahafali ya Kwanza ya Somait, Atakuwa...

 

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar - Mhe. Lela Muhamed Mussa

 

Atakuwa Pamoja nasi  katika Mahafali haya ili kusherehekea mafanikio, ubunifu na safari ya maendeleo ya vijana wetu kwenye teknolojia. 

 

📅 Tarehe: 20 Desemba 2025 (Jumamosi)

📍 Mahali: Ukumbi wa Shule ya Haile Selassie, Stone Town – Unguja

⏰ Muda: Saa 2:00 asubuhi

 

Somait, Unlocking Digital Potential.

0
Days
0
Hours
0
Minutes
0
Seconds

Event Details

  • 08:00 AM
  • 20 December, 2025
  • Ukumbi wa Shule ya Haile Selassie, Stone Town – Unguja