Coding for Kids

Anza Kumtengenezea Mtoto Wako Msingi Mzuri wa Kidigitali,

 

Usimwache mwanao nyumbani katika likizo hii bila kujifunza kitu kipya,

 

Coding for Kids ni kozi maalum kwa watoto wenye umri wa miaka 8–12, inayowafundisha:

 

✅ Utangulizi wa coding kwa kutumia Scratch

✅ Kufikiri kwa mpangilio na mantiki (logical thinking)

✅ Kutengeneza michezo midogo (mini-games)

✅ Animation & storytelling

✅ Mafunzo kwa vitendo (hands-on interactive sessions)